Mazoezi ya viungo husaidia wanawake kukabiliana na tatizo la ugumba, matatizo ya maumivu wakati wa hedhi, ukuaji wa mtoto na hata humsaidia mwanamke ajifungue kirahisi wakati wa kuzaa.
Akili yako ilijengwa tokea utoto,ndio maana ni lazima kuhakikisha mtoto analelewa katika hali ya upendo,nidhamu na adabu.hakuna malezi mazur kama yale ya kumfanya mtoto kuwa huru kujieleza na kujua ni lipi jema na lipi baya
Michezo shuleni husaidia katika kukuza akili ya mtoto, afya pia humfanya mtoto kupenda shule, hivyo ni muhimu wazazi na walimu kuhakikisha watoto wanashiriki katika michezo
Fanya mediation angalau kwa dakika 10 kila siku na itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo, kutuliza akili, kukua kiroho na kupumzisha mwili wako
mazoezi ya kukimbia ni mazoezi mazuri sana kwa kumpunguza uzito, mazoezi haya husaidia kuboresha kiwango cha metabolism, kuufanya mwili kuwa fiti, na kupunguza kiwango cha mafuta mwilini, hivyo kimbia mita kadhaa angalau mara tatu kwa wiki na utapata matokeo mazuri