Mazoezi ni muhimu kwa afya ya uzazi wa mwanamke

Mazoezi ya viungo husaidia wanawake kukabiliana na tatizo la ugumba, matatizo ya maumivu wakati wa hedhi, ukuaji wa mtoto na hata humsaidia mwanamke ajifungue kirahisi wakati wa kuzaa.

Upendo ndani ya familia husaidia katika afya ya akili ya mtoto

Akili yako ilijengwa tokea utoto,ndio maana ni lazima kuhakikisha mtoto analelewa katika hali ya upendo,nidhamu na adabu.hakuna malezi mazur kama yale ya kumfanya mtoto kuwa huru kujieleza na kujua ni lipi jema na lipi baya

Michezo shuleni husaidia kukuza taaluma ya mtoto

Michezo shuleni husaidia katika kukuza akili ya mtoto, afya pia humfanya mtoto kupenda shule, hivyo ni muhimu wazazi na walimu kuhakikisha watoto wanashiriki katika michezo

Mediation husaidia kupunguza msongo wa mawazo(stress)

Fanya mediation angalau kwa dakika 10 kila siku na itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo, kutuliza akili, kukua kiroho na kupumzisha mwili wako

Mazoezi ya kukimbia husaidia kuondoa kitambi

mazoezi ya kukimbia ni mazoezi mazuri sana kwa kumpunguza uzito, mazoezi haya husaidia kuboresha kiwango cha metabolism, kuufanya mwili kuwa fiti, na kupunguza kiwango cha mafuta mwilini, hivyo kimbia mita kadhaa angalau mara tatu kwa wiki na utapata matokeo mazuri

F

F

Saturday, 9 September 2017

TAMBUA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME LINALOTIBIWA NA UFANYAJI WA MAZOEZI.!

UTANGULIZI

Upungufu wa nguvu za kiume ni nini?

Upungufu wa nguvu za kiume unatafsiri nyingi ila baadhi ya tafsiri HIZI ni hizi,
<a>mwanaume kufika mshindo mapema isivyo kawaida, (kumwaga mapema sana>
Wako wanaume ambao ndani ya dakika 2  pekee huwa tayari wamekwishamwaga shahawa zao,Hakika huu ni muda MFUPI sana na ni vigumu mwanaume Huyu kumtosheleza mpenzi wake kimapenzi.
Mara nyingi wanaume ambao waliwahi kujihusisha na kujichua<punyeto> kipindi Fulani katika maisha Yao Leo wanaume tatizo hili.Utazamaji wa picha chafu za ngono katika simu na video ni mambo yanayochangia udhaifu huu katika ndoa.Tatizo hili haliwezi kuondolewa kwa kufanya mazoezi ya viungo wala kwa kula mlo kamili.



<b>Uume kulegea na kulala Mara baada ya kumwaga.
Hii ni dalili nyingine KUBWA ya tatizo hili,na wanaume wengi wamejikuta wakichukia na hata kuchanganyikiwa na hali hii inayosikitisha,na kumkera mwanaume husika.
Kuharibika kwa misuli ya PC, ambayo ndio husimamisha uume ndio chanzo kikubwa cha tatizo hili.
Upigaji wa punyeto katika kipindi cha ujanani hasa mwanaume alipokuwa akisoma shule za boarding ni moja ya sababu KUBWA za kuharibika kwa misuli hii muhimu.
Hata hivyo uchovu<tiredness> na msongo wa mawazo <stress> ni mambo mengine ambayo wamekuwa yakichangia kwa mwanaume KUPATA tatizo hili La kusononesha.Wanaume hawa hujikuta wakihitaji mapumziko ya 15,20,30,40,50 ili uume uamke na tendo La ndoa liweze kuendelea.
 Hakuna ushahidi wowote kwamba ulaji wa mlo kamili wala ufanyaji wa mazoezi huweza kuondoa hali hii kwa mwanaume.


<c>kushindwa kwenda zaidi ya raundi moja.
Japokuwa upungufu wa nguvu za kiume hutokea kadiri mwanaume anavyozidi kuongezeka umri,ila si sahihi kwa mwanaume mwenye chini ya umri wa miaka 30 au 40 kushindwa kabisa kwenda zaidi ya raundi mbili katika tendo La ndoa.
Mwanaume Huyu hujikuta akishindwa kabisa kuendelea kwa Kuwa  Mwili unakuwa umechoka kabisa kuendelea.hii sio Bali ya kawaida.
Mara nyingi magonjwa kama kisukari,vidonda vya tumbo,na ngiri<hernia> ni vyanzo kikubwa vya tatizo hili LA kusikitisha.
Matibabu ya magonjwa hayo hupaswa kufanyika kabla ya mwanaume kutibiwa .

<d>Upungufu wa madini ya zinc na selenium mwilini.madini haya ni muhimu sana kwa KUWA huboresha misuli muhimu ya PC ambayo ndio husimamisha vema uume wakati wa tendo.upungufu wa madini haya huweza hupelekea mwanaume kushindwa husimamisha uume wake vema.
Madini ya zinc na selenium huweza kupatikana katika Samaki wa pweza na viumbe vingine vya baharini.
Upungufu huu wa nguvu za kiume kamwe hautibiki kwa kumfanya mazoezi ya viungo.


MAASHIRIA MADOGO YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Yafuatayo ni MAASHIRIA mengine ya tatizo hili,hapo sio wote wanaopata dalili hizi;

++maumivu ya kiuno na mgongo bila sababu maalumu.

++Kupata cho kigumu hapo KUWA mwanaume anaweza akawa akitumia MAJIBU ya kutosha na hata mlo kamili.

++tumbo kujaa gesi

++ kunya kinyesi kigumu na pingilipingili
Shida hii ikiendelea kwa muda mrefu huweza kusababisha tatizo la  bawasiri <hemorrhoids>
Ambapo nyama Fulani huweza kujitokeza sehemu ya haja kubwa ya mwanaume husika.


UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNAOTIBIKA KWA KUFANYA MAZOEZI.

Upungufu wa nguvu za kiume unaosababishwa na MTU uwa na mafuta mengi mwilini mfano katika mishipa ya damu na kupunguza kipenyo cha mishipa ya damu huweza hupelekea msukumo wa damu kuongezeka<blood pressure>
Msukumo wa damu Unapokuwa mkubwa hupelekea athari nyingi ikiwamo tatizo LA upungufu wa nguvu za kiume ,magonjwa ya moyo na hata kiharusi <stress>
Upo ushahidi kwamba mwanaume mwenye mafuta mengi mwilini <kitambi>akijihusisha na ufanyaji wa mazoezi ya viungo atapunguza mafuta mwilini,hii pia itaongeza kipenyo cha mishipa ya damu na hivyo atakuwa na nguvu za kiume za awali.



UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNAOONDOLEWA KWA KULA MLO KAMILI.

ulaji wa mbogamboga na matunda huondoa Sumu mwilini na kuongeza utendaji kazi wa mishipa ya damu na hii huimarisha utendaji kazi wa uume .



  KWA USHAURI BINAFSI
tupigie simu namba 0744492641~0678600169~0682911979 ili kuweza kurejesha hali yako awali
KUJIUNGA NA GROUP LETU KUBWA LA
"TABIBU ONLINE" TUMA NAMBA yaKO YA WHATSAPP KUJA 0755469292
#KUPATA
+++++ELIMU
+++++USHAURI
+++++MATIBABU.