Wednesday, 24 May 2017
VIPODOZI TUVITUMIAVYO VINAPASWA VIENDANE NA NGOZI ZETU
Vipodozi Hutumika Kwa Sababu Nyngi Ikiwamo Kulainisha Ngozi Hivi Uinaitwa SOFTENERS Na Pia Kuondoa Mipasuko Ya Ngozi Kwa Maana Ya SKIN CRACKS,wako Pia Wanaotumia Vipodozi Kutokana Na Kupenda Harufu Yake,ama Rangi Yake Ila Kwa Ujumla Wake ,mtu Hupaswa Ku2mia Kipodozi Kulingana Na Aina Ya Ngozi Yake
kwa Mfano Wa Wale Wenye Ngozi Zenye #mafuta_mengi Hupaswa Kutumia Vipodozi Visivyo Na Glycerine,mtu Mwenye Aina Hii Ya Ngozi,hujikuta Katika Kupata Chunusi Na Hata Makovu #scars Hasa Pale Anaposhindwa Kutibu Chunusi Zake Na Kusababisha Vidonda,wale Wenye Ngozi Ngumu Hupaswa Kutumia Vipodozi Vyenye Glycerine,glycerine Huongeza Utelezi Ktk Ngozi,kwa Maelezo Zaidi Kuhusu Uchaguzi Wa Mafuta Na Vipodozi Tumia 0678600169,
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI?
HOPE HERBALIST CLINICS TANZANIA
JE UNGEPENDA KUPATA USHAURI BURE KUHUSU TATIZO LAKO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME???
wanaume wengi siku hizi wamebatizwa majina ya ajabukatika saloon za wanazokwenda wake zao kupata huduma za kunyoa,huku wanawake wengine wakiamua kuwakomoa wanaume zao hawa kwa kuiba nje ya ndoa,sasa wafanyeje wakati kila siku waume zao hawawezi kuwafurahisha kitandani,yaani wanaume wanaanza kuvaa suruali zao huku wanawake wakiwa still wana kiu ya awali?
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI?
hii ni hali ya mwanaume kushindwa kabisa kumfurahisha mwanamke kitandani na hali hii ina maashiria makubwa mawili kama ifuatayo
<a>KUWAHI KUMWAGA SHAHAWA MAPEMA SANA
Hali hutambulika kama pre mature ejaculation, MWANAUME hujikuta akimwaga dakika moja tuu baada ya kuingia ikulu ya mwanamke, hali hii humfanya mwanaume kupoteza ujasiri wa kiume na hata kujihisi karogwa,
<b> KUSHINDWA KUENDELEA MARA BAADA YA KUMWAGA SHAWA
hii hutokana na kuharibika kwa misuli ya PC ambayo ndio husababisha uume kusimama kwa muda mrefu,wanaume ambao wamewahi kupiga punyeto leo hii ni wahanga wa tatizo hili hili lenye kuti aibu sana kitandani.wanaume hujikuta wakishindwa kuendelea mara baada ya kumwaga shahawa zao.wanaume waliowahi kupiga punyeto leo wanalalamikia matatizo haya yanayowalazimu wapumzike dakika kama dakika ishirini au thelathini baada ya kumwaga ili uume usimame upya na waendelee.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
KWA USHAURI KWA WENYE TATIZO HILI WASILIANA NASI KWA NAMBA
0678600169 TIGO
0755469292 <WHATSAPP>
0744469292 VODA
JE UNGEPENDA KUPATA USHAURI BURE KUHUSU TATIZO LAKO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME???
wanaume wengi siku hizi wamebatizwa majina ya ajabukatika saloon za wanazokwenda wake zao kupata huduma za kunyoa,huku wanawake wengine wakiamua kuwakomoa wanaume zao hawa kwa kuiba nje ya ndoa,sasa wafanyeje wakati kila siku waume zao hawawezi kuwafurahisha kitandani,yaani wanaume wanaanza kuvaa suruali zao huku wanawake wakiwa still wana kiu ya awali?
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI?
hii ni hali ya mwanaume kushindwa kabisa kumfurahisha mwanamke kitandani na hali hii ina maashiria makubwa mawili kama ifuatayo
<a>KUWAHI KUMWAGA SHAHAWA MAPEMA SANA
Hali hutambulika kama pre mature ejaculation, MWANAUME hujikuta akimwaga dakika moja tuu baada ya kuingia ikulu ya mwanamke, hali hii humfanya mwanaume kupoteza ujasiri wa kiume na hata kujihisi karogwa,
<b> KUSHINDWA KUENDELEA MARA BAADA YA KUMWAGA SHAWA
hii hutokana na kuharibika kwa misuli ya PC ambayo ndio husababisha uume kusimama kwa muda mrefu,wanaume ambao wamewahi kupiga punyeto leo hii ni wahanga wa tatizo hili hili lenye kuti aibu sana kitandani.wanaume hujikuta wakishindwa kuendelea mara baada ya kumwaga shahawa zao.wanaume waliowahi kupiga punyeto leo wanalalamikia matatizo haya yanayowalazimu wapumzike dakika kama dakika ishirini au thelathini baada ya kumwaga ili uume usimame upya na waendelee.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
KWA USHAURI KWA WENYE TATIZO HILI WASILIANA NASI KWA NAMBA
0678600169 TIGO
0755469292 <WHATSAPP>
0744469292 VODA
Soma faida 10 za kula matango na matikiti maji...
Ulaji wa matango na matikiti maji husaidia kuboresha kiwango cha maji ambayo huitajika mwilini, hii ni kutokana na matango kuwa na kiwango kikubwa cha maji ambayo husaidia kuondoa taka mwili pamoja na sumu mbalimbali ambazo miili yetu huzipata kupitia vyakula, madawa na hata vinywaji.
(1)Husaidia kupunguza uzito wa mwili. Kutokana na kuwa na asili ya nyuzi nyuzi au, fibres, humfanya mlaji ajisikie kushiba bila ya kuongeza vitu mwilini ambavyo husababisha mtu aongezeke uzito hivyo kuzuia magonjwa mbalimbali
(2)Hupunguza (hangovers),uchovu, mawengewenge pamoja na hali ya kujisikia vibaya kutokana na unywaji wa kilevi. Hii ni kutokana na kuwa na vitamini B na maji mengi ambapo, baada ya mtu kunywa kilevi na kisha akaja kula matango kabla ya kulala, itamfanya asubuhi asiamke huku akiwa na hangovers
(3)Husaidia katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya tumbo kama vile kuvimbiwa, tumbo kujaa gesi, vidonda vya tumbo na mengineyo hupungua kutokana na ulaji wa matango, husaidia kuondoa sumu tumboni na kurahisisha ufyonzwaji wa protein mwilini kutokana na uwepo wa kiwezeshaji cha kibaiolojia kinachoitwa, erepsin enzyme.
(4)Husaidia kuondoa msongo wa mawazo kwani yana kiwango kikubwa cha vitamini B ambayo husaidia kuboresha utendaji kazi wa mishipa mbalimbali ya fahamu mwilini na hivyo kuondoa hatari ya mtu kuathirika na msongo wa mawazo unaosababishwa na maisha ya kila siku.
(5)Husaidia kuondoa hatari ya mtu kupata kansa. Yana kiwango kikubwa cha virutubisho vyenye asili ya mimea viitwavyo, lignans, ambavyo pamoja na vitamini c,
(6)husaidia kuondoa sumu mbalimbali na kuiboresha kinga ya mwili na hivyo kuepusha hatari ya mtu kupata kansa.
(7)Husaidia kuondoa harufu mbaya kinywani. Kwa kukiweka kipande cha tango mdomoni kwa dakika kadhaa, huuwa bakteria mbalimbali wasababishao magonjwa mbalimbali ya kinywa na harufu mbaya mdomoni.
(8)Husaidia mtu kupata choo laini na huzuia kukosa choo.
(9)Huzuia kuganda kwa mafuta katika mishipa ya damu ili kuwezesha mzunguko sahihi wa damu kaitika pande zote za mwili sambamba na kurekebisha mapigo ya moyo
(10)Huwepo wa vitamini katika matunda haya husaidia kupunguza kiwango cha sukari mwilini na presha.
Kuchanganya pombe na vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) ni hatari kwa afya yako
Mchanganyiko wa pombe na vinywaji vya kuongeza nguvu vijulikanavyo kama Energy drinks vilitosha kumfanya akose usingizi na kuwa mwenye nguvu kwa muda wote kipindi alipokuwa akikesha katika kumbi tofauti tofauti za starehe katika katika jiji la Dar es Salaam wakati akisoma katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Lakini leo hii akizungumzia mambo yanayohusu afya yake na yako, kuchanganya pombe na Energy drinks ni jambo ambalo asingekushauri kabisa ulifanye. Kwani hali ya afya yake ipo ukingoni na asingependa kabisa kuona mtu mwingine akiingia katika majanga aliyoyapata yeye.
Je ni kweli vinywaji hivi vijulikanavyo kwa jina la energy drinks huongeza nguvu kama inavyosemekana? Wataalam wa afya wanatoa tahadhari kuhusiana na madhara yatokanayo na hivi vinywaji maarufu. Utumiaji wa vinywaji hivi kwa muda mrefu husababisha matatizo ya moyo ambayo ni hatari sana kwa afya yako.
Utafiti uliofanyika katika nchi nyingi duniani unaonyesha vinywaji hivi vikitumiwa kwa muda mrefu huleta madhara makubwa kwa watumiaji kama vile kuongezeka kwa mapigo ya moyo (Increased heart rate) ambayo hupelekea kuongezeka kwa msukumo wa damu (blood pressure) ambapo mwisho wa siku hupelekea watumiaji kupata shinikizo la moyo (Hypertension) na shambulio la moyo(heart attack).
Kitaalam vinywaji hivi vijulikanavyo kama energy drinks vimechanganywa na caffeine ambayo husababisha mnywaji wa vinywaji hivi kukosa usingizi huongeza uelewa na hupunguza uzito.
Lakini ikitumiwa kwa wingi na kwa muda mrefu,caffeine husababisha addictions na matatizo ya moyo. Kwahiyo ni vema tukaepuka kuchanganya pombe na vinywaji vya aina hii ili kuepukana na madhara yatokanayo na utumiaji wa mchanganyiko huu.
NASAA YA LEO KATIKA ULAJI CHAKULA
Kila imani imeruhusu kula na kunywa vizuri tena vyakula halali alivyoturuzuku M/Mungu, Lakini pia tumekatazwa kula chakula kingi sana mpaka mtu akashindwa kupumua. Ukidumu katika hali hii ya kula sana basi fahamu ya kuwa unausababishia mwili madhara na maradhi.
Unachotakiwa ule ni chakula kiasi ili uweze kupumua vizuri na uweze kutembea vizuri kwa sababu lengo la kula chakula ni kutoa njaa na lengo la kunywa maji ni kuondosha kiu. Pia ulaji wa chakula chenye mafuta mengi unaweza kuleta maradhi katika mwili wa mtumiaji, mfano magonjwa ya moyo, presha n.k.
Pia ulaji wa vyakula vilivyofungwa ndani ya makopo vinaleta madhara katika mwili wa binadamu iwapo mtu atadumu katika utumiaji.
Matabibu wengi wanashauri kutumia nazi ni bora sana kuliko mafuta. Tunatakiwa tutumie matunda baada ya kula chakula kwa kulinda miili yetu na kutengeneza siha nzuri. Tusisubiri mpaka tuumwe ama labda kwa kushauriwa na daktari. Vilevile tunashauriwa tutumie juice ya matunda kuliko kutumia juice ya makopo.
Kwa ushauri zaidi tuwasiliane, pia matatizo yakizidi muone daktari kwa matibau zaidi.
USISAHAU KU-SHARE ILI ELIMU HII IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI
MATATIZO YA UGUMBA KWA WANAWAKE.
Ndugu msomaji, wakati mwingine mwanamke anaweza kutozaa na kuwa mgumba kwa mambo ambayo yeye mwenyewe aliyafanya siku za nyuma na hali hii ikampelekea kutozaa. Moja katika hayo ni:
==> Kutoa mimba kwa makusudi.
==> Kufanya ngono katika umri mdogo (usichana) na wanaume tofauti.
==> Magonjwa ya zinaa kama vile Gono, Kaswende n.k
==> Na mara nyingine ni mitihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa kumnyima mtoto ama kutompa mapema.
TIBA YAKE.
1. Chukua kiganja cha tende, loweka katika maziwa ya mbuzi kwa siku nzima.
(y) Pekecha tende ndani ya maziwa hayo.
(y) Chukua unga wa Hiliki na asali changanya pamoja.
==> Kunywa kila jioni saa moja kabla ya kwenda kulala. Tiba hii inaimarisha na kusisimua mbegu za uzazi.
2. Chukua mizizi wa mtula (mnyanya pori) osha vizuri na tia punje saba za kunde.
(y) Chemsha pamoja uwe una kunywa kikombe kimoja kila siku jioni kwa muda wa wiki moja.
Tiba hii ni mujarabu na imewasaidia wengi.
Kwa tiba nyingine mubadala tuwasiliane.
DAWA YA UCHAFU UKENI
Kwa kawaida mwanamke hutokwa na majimaji mepesi (vaginal fluids) yenye rangi nyeupe au ya njano. Inapotokea anatokwa na majimaji yenye ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali na muwasho, hiyo huwa ni ishara ya ugonjwa uitwao wa kutokwa uchafu ukeni ujulikanao kwa kitaalamu kama ‘Vaginosis’.
Mwanamke mwenye tatizo hili hujisikia vibaya na anaweza akaacha kushiriki tendo la ndoa ama kwa kuhofia maumivu au kwa kuona aibu kwani mwanaume ni vigumu kuvumilia harufu hiyo au hata kuuona tu huo ute ute kwani humjengea hisia kwamba mwenza wake atakuwa na magonjwa ya zinaa au si mwaminifu kwa ujumla.
Kinachosababisha kutokwa na uchafu ukeni:
DALILI
MATIBABU
Mara uonapo dalili hizo unashauriwa kwenda kumuona daktari haraka iwezekanavyo kwa vipimo zaidi na dawa zaweza kuwa ni za kunywa au za kupaka.
Pia unaweza kutumia dawa za asili zifuatazo:
1. KITUNGUU SWAUMU
Kitunguu swaumu ndiyo dawa ya asili nzuri kuliko zote kwa ajili ya maambukizi ya maambukizi ya bakteria kwa wanawake. Kitunguu swaumu ni antibiotiki ya asili na hufanya kazi ya kuua BAKTERIA wasababishao huu uchafu ukeni bila shida yoyote.
NAMNA YA KUANDAA
Menya punje 3 au 5 za kitunguu swaumu, zipondeponde kidogo na uzifunge vizuri ndani ya kitambaa laini na ingiza ndani ya uke wako kwa masaa 6 hivi kisha ukitoe. Pia menye punje 6 za kitunguu swaumu na uzikate vipande vidogo vidogo (chop) na unywe na maji nusu lita asubuhi ukiamka au usiku unapoenda kulala kwa wiki mbili mpaka tatu.
2. MTINDI
Chukua mtindi ujazo wa kijiko kidogo cha chai na utumbukize ndani ya uke wako na uache huko usiku mzima. Mtindi una bakteria wazuri wanaohitajika ukeni kuweka sawa usawa wa PH (alikalini na asidi) na hivyo kuondoa maambukizi. Pia unashauriwa kula tu huu mtindi mara mbili kwa siku kuongeza kinga ya mwili wako kwa ujumla dhidi ya magonjwa mbalimbali
3. SIKI YA TUFAA
Chovya pamba ndani ya siki ya tufaa (apple cider vinegar) na uweke ndani ya uke kwa dakika 15 hadi 20 kila siku na bakteria wabaya wote watakufa.
4. UWATU
Loweka kijiko kidogo cha mbegu za uwatu (fenugreek seeds) ndani ya maji glasi moja na uache kwa usiku mzima. Kesho yake asubuhi maji haya yaliyolowekwa mbegu za uwatu kabla ya kula au kunywa chochote. Uwatu husaidia kuweka sawa homoni za mwili na kuweka sawa mzunguko wa hedhi.
5. MAZIWA na BINZARI
Changanya kijiko kimoja cha chai cha binzari (manjano) ya unga na kikombe kimoja cha maziwa ya moto na unywe mara mbili kila siku mpaka tatizo litakapoisha.
6. LEMONADE
Lemonade inaandaliwa kwa kutumia limau na asali na mdalasini ya unga kidogo, nayo inaandaliwa hivi:
👇
* Chukua asali nusu Lita
* Chukua limau kubwa 12, zikate katikati, kila moja. Tumbukiza ndani ya sufuria na weka maji Lita 3, chemsha mpaka limau ziive (zisiive sana), ipua utowe zile nyama nyama za ndani za liamau moja baada ya nyingine, ganda la nje tupa na uchuje kupata juisi ambayo itakuwa na ujazo wa lita 2 na nusu hivi.
* Chukua limau kubwa 12, zikate katikati, kila moja. Tumbukiza ndani ya sufuria na weka maji Lita 3, chemsha mpaka limau ziive (zisiive sana), ipua utowe zile nyama nyama za ndani za liamau moja baada ya nyingine, ganda la nje tupa na uchuje kupata juisi ambayo itakuwa na ujazo wa lita 2 na nusu hivi.
Kwenye sufuria nyingine kubwa changanya ile asali nusu Lita na hiyo juisi ya limau Lita 2 na nusu, ongeza maji Safi ya kawaida Lita 2 ili kupata lemonade ya ujazo wa lita 5. Ihifadhi katika friji
Kunywa robo Lita kutwa mara 2 kwa siku 10 hadi 11 hivi.
Unaweza kuongeza vijiko vikubwa vitatu vya mdalasini ya Unga ndani ya hii juisi ya LEMONADE
7. Jeli ya mshubiri (ALOE VERA JEL)
Ingawa jeli fresh ya mshubiri haitibu moja kwa moja tatizo la kutokwa na uchafu ukeni inaweza kuwa msaada mkubwa katika kupunguza maumivu na muwasho ukeni. Chana kipande kidogo cha jani la mmea huu na ukamue kidogo kupata maji maji yake na upake vizuri taratibu ndani ya uke mara mbili kwa siku kwa majuma kadhaa hadi muwasho utakapoisha.
MAMBO MHIMU YA KUZINGATIA
Zingatia dawa peke yake hazitofaa kitu bila kuzingatia ushauri au masharti mhimu yafuatayo:
USISAHAU KUSHARE ILI ELIMU HII IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI
ZIFAHAMU FAIDA ZA MIWA NA JUICE YAKE.
Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi jijini Dar es Salaam na sehemu nyingi nchini wanaouza juisi ya miwa ama miwa yenyewe. Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa. Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina virutubisho na madini kwa wingi. Miwa ina faida nyingi kiafya. Juisi ya miwa inafahamika na wataalamu wa afya kwa kuwa na uwezo wa kuupa mwili nguvu kwa sababu ya ‘glucose’ iliyopo. Kijiko kimoja cha juisi ya miwa, kina kalori 11. Madini halisi na vitamin zinazopatikana katika sukari ni kama phosphorus, calcium, madini ya chuma na potassium.
Si hivyo tu, miwa ni jamii ya tundam lenye alkali hivyo lina uwezo wa kupambana na saratani hasa ile ya kibofu cha mkojo na saratani ya maziwa. Miwa ina upekee wake kwani ina uwezo wa kuongeza maji mwilini, inaupooza mwili na kuupa nguvu. Virutubisho vilivyopo katika miwa vina manufaa makubwa katika kusaidia utendaji kazi wa ogani muhimu kama figo, moyo, ubongo na viungo vya uzazi. Pia, wagonjwa wa kisukari wasihofie sukari iliyopo kwenye miwa kwani haina madhara yoyote kwao. Uzuri juisi ya miwa ni kuwa sukari yake ni halisia.
USISAHAU KUSHARE ILI ELIMU HII IWAFIKIE WENGI ZAIDI.






















