Ni kama vile wanawake wenye makalio MAKUBWA wana soko zaidi kuliko wale wasio na makalio MAKUBWA,kwa kifupi makalio ya mwanamke hu-attract attention ya wanaume.
Na ndio maana katika mitandao ya kijamii 75% ya wanawake wanaopost picha zao huweka makalio yao yaonekane.
Ni vizuri kupendeza na hata kuonekana una "furushi" KUBWA au "mzigo" mzito wa makalio ikiwa umezaliwa nayo..
Kwa ujumla ziko dawa za kuongeza makalio na dawa hizi ziko za aina tofautitofauti kulingana na jinsi yanavyotumika.
TAMBUA MGAWANYO WA DAWA HIZO.
Ziko dawa za aina tatu tofauti zinazoongeza makalio,na hata matiti ya mwanamke kwa kuyatumia sio chini ya Siku 20.
DAWA ZA KUMEZA <PILLS>
Viko vidonge maalumu ambavyo hutambulika kama #pills ambavyo MTU huvitumia kwa lengo LA kuongeza makalio YAKE.
Dawa hizi zinaongozwa kwa kuuzwa nchini Tanzania huku mkoa wa Dar es salaam Na Dodoma ,huku nchi insyoongoza kwa kuyatumia ikiwa marekani,wanawake wakiongoza kwa kuyatumia madawa haya.
Ubaya wa kwanza wa madawa haya ni KWAMBA kuongeza hamu ya kula kwa mtumiaji jambo linapalopelekea anenepe haraka sana KUTOKANA na kuongezeka tishu za ziada mwilini.
DAWA ZA KUPAKA <CREAMS>
Hizi ni dawa ambazo hupakwa juu ya SEHEMU anayotaka iongezeke,mfano makalio,matiti ,hips nk.dawa hizi zinaheshimika sana nchinni Uingereza.
DAWA ZA SINDANO <INJECTIONS>
Ziko sindano ambazo hudungwa kwa lengo LA kuongeza mtiririko wa growth stimulating hormone ambayo kuongeza kipenyo cha mishipa ya damu ili damu NYINGI zaidi iweze kusafirishwa kwenda katika makalio na maeneo mengine yalikusudiwa.
MADHARA YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO YA WANAWAKE.
<a>DAWA hizi huaribu utendaji kazi wa hormone ya oestrogens ambayo humhakikishia mwanamke uwezo wa KUPATA mimba,kutunza mimba kwa wiki 40 na kujifungua salama.
Wanawake hawa hujiku mimba kutoka Mara kwa Mara kwani kizazi huwa kimemeharibika
<b>dawa hizi huaribu utendaji kazi wa moyo.
Mwanamke Huyu hujikuta akipata tatizo LA shinikizo la juu LA damu "hypertension" ambayo kiasili hupelekea magonjwa ya kusimama kwa moyo "heart failure" moyo na shambulio La moyo "heart attacks".
Haya ni magonjwa yapelekeayo vifo kwa WINGI sana.
<c>Saratani ya matiti <breasts cancer>
Hii inatokana na kuharibika kwa utendaji kazi wa seli za matiti,jambo linalopelekea matatizo haya.Hii ni saratani mbaya zaidi na inayoua wanawake wengi zaidi kwa wanawake kwa sasa.
KWA USHAURI, MAELEKEZO NA HUDUMA ,TAFADHALI TUPIGIE.
0678600169/ 0744492641 /0682911979
TUMA NAMBAKO YA WHATSAPP KUJA 0755469292 KUJIUNGA NA GROUP LETU KUBWA LA
"TABIBU ONLINE"



















