F

F

Wednesday, 24 May 2017

MATATIZO YA UGUMBA KWA WANAWAKE.

Ndugu msomaji, wakati mwingine mwanamke anaweza kutozaa na kuwa mgumba kwa mambo ambayo yeye mwenyewe aliyafanya siku za nyuma na hali hii ikampelekea kutozaa. Moja katika hayo ni:
==> Kutoa mimba kwa makusudi.
==> Kufanya ngono katika umri mdogo (usichana) na wanaume tofauti.
==> Magonjwa ya zinaa kama vile Gono, Kaswende n.k
==> Na mara nyingine ni mitihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa kumnyima mtoto ama kutompa mapema.
TIBA YAKE.

1. Chukua kiganja cha tende, loweka katika maziwa ya mbuzi kwa siku nzima.
(y) Pekecha tende ndani ya maziwa hayo.
(y) Chukua unga wa Hiliki na asali changanya pamoja.
==> Kunywa kila jioni saa moja kabla ya kwenda kulala. Tiba hii inaimarisha na kusisimua mbegu za uzazi.
2. Chukua mizizi wa mtula (mnyanya pori) osha vizuri na tia punje saba za kunde.
(y) Chemsha pamoja uwe una kunywa kikombe kimoja kila siku jioni kwa muda wa wiki moja.
Tiba hii ni mujarabu na imewasaidia wengi.
Kwa tiba nyingine mubadala tuwasiliane.

0 comments:

Post a Comment