F

F

Tuesday, 11 July 2017

NJIA ZA KUTAMBUA KAMA UNA UKE MPANA!

kuna wanawake wengi huwa wanashindwa kujua kama uke wao ni mpana au mdogo (mnato). sababu inayowapelekea kushindwa kuamua mazoezi ya kuufanyia uke wao. leo nitakuletea njia rahisi za kujua kama uke wako ni mpana au mnato.

UNATOPOWEZA KUINGIZA VIDOLE VYAKO VYOTE VITATU BILA SHIDA

kama unaweza kuingiza ukeni vidole vyako vyote vitatu bila tatizo basi hiyo ni dalili ya kuwa na uke mpana

KUTOKWA NA HAJA NDOGO BILA KUJITAMBUA

kutokwa na haja ndogo bila kujitambua pia ni dalili mojawapo ya uke mpana, haja ndogo hiyo hutoka kidogo bila mwanamke kutambua

MPENZI WAKO ANALALAMIKA KUHUSU UKE WAKO

kama mpenzi wako analalamika kuwa humlidhishi na kwamba uke wako ni mpana basi ujue una uke mpana

UNAFIKA KILELENI UKITUMIA VITU VYENYE MAUMBILE MAKUBWA

kama unafila kileleni pale tu unapotumia sex toy  kubwa au vitu venye umbo kubwa kufanya mapenzi basi ujue una tatizo la uke mpana

HULIDHIKI KITANDANI

kama hulidhiki kitandani na unapata shida sana kufika kileleni basi unaweza kuwa na tatizo la uke mpana

0 comments:

Post a Comment